Back to homeWatch Original
Wizi wa maji Mombasa
video
August 21, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Gavana wa Mombasa Abulswamad Sharif Nassir amekiri kwamba uhaba wa maji umekuwa kero kwa wakazi. Hii ni baada ya wakazi kulalamikia ukosefu wa bidhaa hiyo muhimu. Kulingana na gavana, asilimia 60 ya maji hupotea kila siku na imechangiwa na maafisa wa kaunti na wale wa serikali ku..