Back to homeWatch Original
Wabunge wa eneo la Ukambani wapinga pendekezo la Raila Odinga
video
August 21, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wanaoegemea upende wa Kenya Kwanza kutoka eneo la Ukambani wamemsuta vikali kinara wa cha ODM Raila Odinga kufuatia mapendekezo ya kutaka hazina ya CDF,NGAAF na ile ya maseneta kuondolewa wakidai mapendekezo hayo yanalenga kuangamiza maendeleo yanayoletwa na hazina hizo..