Back to homeWatch Original
Mafunzo ya Usalama barabarani yafanywa Makueni
video
August 21, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Zaidi ya wahudumu wa boda boda 200 katika eneo bunge la Mbooni kaunti ya Makueni wamepata mafunzo ya usalama barabarani na kisha kupokezwa leseni za kuendesha pikipiki. Mpango huo umefanyika ili kujaribu kupunguza ajali za mara kwa mara ambazo zinasababishwa na wahudumu w abodabo..