Back to homeWatch Original
Wakazi wa Nyamache waishi kwa hofu kutokana na ongezeko la uhalifu
video
August 21, 2025
6d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wafanyibiashara kadhaa katika soko la Nyamache huko Bobasi kaunti ya Kisii wanaishi kwa hofu kutokana na kuongezeka kwa uhalifu. Genge la vijana lilinaswa kwenye kanda ya cctv likiiba katika duka moja la viatu eneo hilo...