Back to home

Wizara ya Afya yasitisha huduma za SHA kwenye vituo 45 vya Afya kwa madai ya ulaghai

video
August 26, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wizara ya afya imetangaza kusitisha huduma za bima ya afya ya SHA katika vituo 45 nchini kwa hatia ya kuhusika na ulaghai. Hatua hii ya punde sasa ikifikisha 85 vituo vilivyoondolewa kwenye ratba ya bima ya SHA. Kwenye orodha ya leo, kaunti ya Mandera inaongoza kwa idadi ya vituo..