Back to homeWatch Original
Maandalizi ya Harambee Stars kwenye mechi ya robo fainali ya CHAN yakamilika
video
August 21, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
TIMU YA TAIFA YA KANDANDA HARAMBEE STARS IMEKAMILISHA MAANDALIZI YAKE YA MECHI YA ROBO FAINALI DHIDI YA MADAGASCAR KATIKA UWANJA WA KASARANI HAPO KESHO. VIJANA WA HARAMBEE STARS WALIFANYA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA NYAYO..