Back to homeWatch Original
Mafuriko ya ziwa Baringo yaharibu barabara ya Marigat-Chemolingot, usafiri kusitishwa
video
August 21, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huduma za usafiri katika barabara ya Marigat kuenda Chemolingot zimelemazwa, baada ya maji kutoka ziwa baringo kusomba sehemu ya barabara hiyo. Kulingana na wakazi, hali imekuwa mbaya kwa miezi miwili huku mvua inayonyesha sasa ikiendelea kuharibu barabara hiyo..