Back to home

Kongamano la kwanza la Afrika lafanyika

video
August 22, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kongamano la kwanza la kutoa hamasa kuhusu matatizo ya kuandika na kusoma yaani dyslexia limefanyika hapa jijini Nairobi ambapo wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, viongozi wanaobuni sera na walezi wa watoto wanaokabiliwa na matatizo hayo walielezea changamoto wanazopitia..