Back to home

Kongamano kuhusu mazingira lafanyika Mombasa

video
July 25, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanasayansi wa mazingira nchini wanaitaka serikali pamoja na washikadau husika kuweka mikakati ya kukabiliana na mkengeuko wa hali ya anga ili kudhibiti uwezekano wa maeneo ya kaskazini mwa pwani ya kenya kumezwa na bahari na hivyo kuleta athari za kiuchumi kwa umma..