Back to homeWatch Original
Watu wanne waliteketea hadi kufa ndani ya nyumba kaunti ya Nyamira
video
August 22, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo watu wanne waliteketea hadi kufa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto eneo la Kitutu Masaba, kaunti ya Nyamira...