Back to home

Uhuru wa bunge na mahakama

video
August 22, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Bunge la kitaifa na mahakama wameazimia kushirikiana ili kutatua baadhi ya changamoto zinazokabili asasi hizo. Kwenye kongamano la viongozi wa bunge jijini Mombasa, Jaji Mkuu Martha Koome ametaka bunge kuunda miswada inayolenga kutatua migogoro bila ya kuhitilafiana na uhuru wa m..