Back to home

Mateso ya mwanablogu

video
August 22, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mwanablogu anayedaiwa kutekwa nyara na baadaye kulawitiwa sasa amejitokeza na kudai kutelelezwa na kitengo cha ulinzi wa mashahidi. Mwanablogu huyo amesimulia masaibu yake na kuelezea kuhangaishwa na maafisa wa kitengo hicho..