Back to homeWatch Original
Familia yaangamizwa Nyamira
video
August 22, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo watu wanne wa familia moja waliteketea hadi kufa baada ya nyumba yao kuchomwa wakiwa ndani huko Nyamira. Waliotekeleza unyama huo wanasemekana kuwafunga mikono na kuwanywesha mafuta ya petroli kabla ya kuwasha moto huo na kuwafungia ndan..