Back to homeWatch Original
Hospitali za kibinafzi zinalalamikia malipo
video
August 23, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mamlaka ya Bima ya Afya ya Jamii (SHA) imeingia lawamani baada ya kufichuliwa kuwa madai ya mabilioni ya shilingi hayajalipwa, hali inayotishia kufunga hospitali binafsi na za kidini ambazo huhudumia karibu nusu ya wagonjwa nchini..