Back to homeWatch Original
Michezo ya amani Baringo | Jamii hasimu North Rift zaungana kupitia michezo
video
August 24, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Eneo la North Rift kwa miongo kadhaa limekuwa likijulikana kwa matukio ya utovu wa usalama, lakini sasa wakaazi wa kaunti sita wameamua kuungana pamoja kuimarisha amani. Juhudi hizi zikifanywa kupitia michezo kati ya jamii hizi ambazo zimekuwa na uadui wa miaka mingi..