Back to home

Wafungwa waachwa njia panda baada ya Mbagathi kusitisha matibabu

video
August 24, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

WAFUNGWA WANAOTAFUTA HUDUMA ZA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA MBAGATHI SASA WAMEWACHWA NJIA PANDA BAADA YA HOSPITALI HIYO KUSITISHA HUDUMA ZAKE KWA IDARA YA MAGEREZA KWA MUDA WA MAJUMA MATATU SASA. HII NI KUTOKANA NA MALIMBIKIZI YA MAMILIONI YA MADENI AMBAYO HOSPITALI HIYO INADAI. ..