Back to home

Genge la vijana lahangaisha wakazi wa Malindi, Kilifi

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 25, 2025
2w ago
Wanachama wa genge la vijana wanaowahangaisha wakazi wa mji wa Malindi, Kaunti ya Kilifi wamekamatwa katika operesheni ya usalama iliyoendeshwa na polisi wa eneo hilo