Back to home

Kilo zaidi ya 800 za plastiki zaokotwa kutoka ufuoni

video
August 25, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Zaidi ya kilo 800 za plastiki ziliokotwa katika fuo za bahari eneo la Nyali kaunti ya Mombasa katika hamasisho la utunzaji wa mazingira liliwavutia mamia ya wakaazi..