Back to homeWatch Original
Wenye matatu walalamikia kuharibikiwa na magari yao Mombasa
video
August 26, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wamiliki wa matatu kaunti ya Mombasa wanalalamikia barabara mbovu katika MAENEO ya Bombululu hadi eneo la lights wakisema imechangia kwa magari kuharibika kila mara. Hali hii pia imechangia kuwepo kwa msongamano wa magari hasa asubuhi na jioni..