Back to home

Wakaazi wa Webuye Magharibi wakashifu ubadhirifu wa pesa za umma

video
August 25, 2025
13h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Siku chache baada ya tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini, EACC kupendekeza mashtaka dhidi ya aliyekuwa gavana wa bungoma, Wycliffe Wangamati na mbunge wa Webuye Magharibi, Dan Wanyama, kuhusiana na madai ya ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 70 za umma, wakazi w..