Back to home

Ibaada ya kumbukumbu | Hisia zatawala katika ibada ya wafanyakazi wa AMREF waliofariki kwa ajali

video
August 25, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Ibada ya wafu kwa wafanyakazi wanne wa shirika la AMREF waliofariki kwenye ajali ya ndege iliyotokea eneo la Mwihoko majuma matatu yaliyopita imefanyika leo. Ni ibada iliyowaleta pamoja jamaa, marafiki na hata wafanyakazi wenza, pamoja na waathiriwa wengine wawili walioaga dunia ..