Back to homeWatch Original
Familia za waliofariki kwenye ajali ya ndege zatambua maiti
video
August 8, 2025
5d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Familia za watu sita walioaga dunia baada ya ndege aina ya Cessna inayomilikiwa na shirika la AMREF kuanguka katika eneo la Mwihoko huko Githurai kaunti ya Kiambu wamefika makafani tofauti kutambua miili..