Back to home

Mhisani kutoka Korea achimba Kisima cha Maji Kijijini Korea, Narok

video
August 27, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Changamoto ya kupata maji safi katika Kijiji cha ‘Korea ‘ viungani mwa mji wa Narok sasa imezikwa katika kaburi la sahau kufuatia uzinduzi wa mradi wa Kisima cha lita 30,000 kwa udhamini wa Wasamaria wema kutoka nchi ya Korea..