Back to home

Wazazi wa shule ya msingi ya Mabasi wanateta uongozi mbaya

video
August 28, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wazazi Katika shule ya msingi ya Mabasi Katika eneo bunge la Bureti Kaunti ya Kericho wanamtaka mwalimu mkuu wa shule hiyo kuondoka kwa madai ya uongozi mbaya..

Wazazi wa shule ya msingi ya Mabasi wanateta uongozi mbaya (Video)