Back to homeWatch Original
Mazuri zaidi kwa Harambee stars | Wachezaji kupata nyumba za serikali kwa bei ya mkato
video
August 28, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wachezaji wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars sasa wana fursa ya kununua nyumba za serikali kwa nusu ya bei, baada ya serikali kupunguza gharama yake kwa shilingi milioni moja. Rais Ruto ametangaza haya alipokutana na wachezaji wa timu hii walioshiriki mechi ya CHAN baada ya ..