Back to home

DPP aagiza kushtakiwa kwa Gavana wa Bomet Barchok, Wangamati na Dan Wanyama kwa tuhuma za ufisadi

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 28, 2025
1mo ago
Gavana wa Bomet Hillary Barchok pamoja na mwenzake wa Zamani wa Bungoma Wycliffe Wangamati ni miongoni mwa watu walioidhinishwa kufunguliwa mashtaka na mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa tuhuma za ufisadi. Wengine wanaotuhumiwa kushiriki ufisadi ni pamoja na Mbunge wa Webuye West

More on this topic

DPP Orders Prosecution of Governors Barchok and Wangamati on Corruption Charges - August 2025

The Director of Public Prosecutions (DPP), Renson Ingonga, has recommended and approved that corruption charges be brought against Bomet Governor Hillary Barchok and former Bungoma Governor Wycliffe Wangamati. The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) has cleared the arrest and prosecution of the two governors. The directive also targets Webuye West MP Dan Wanyama on corruption charges. Additionally, the DPP's order includes filing charges against Sirisia MP John Waluke and Kimilili MP Didmus Barasa for various offenses.

3 stories in this topic
View Full Coverage