Back to home

Muungano wa matabibu waitaka serikali kuajiri madaktari zaidi

video
August 29, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Muungano wa matabibu wa magonjwa mbalimbali nchini unaitaka serikali kuajiri matabibu zaidi ili kutatua uhaba wa wataalamu hao wakisema umeathiri utoaji huduma za afya ya msingi kote nchini..