Back to homeWatch Original
Rigathi Gachagua akosolewa na wandani wa Rais Ruto
video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wandani wa Rais William Ruto eneo la kati wamemtaka Kinara WA DCP Rigathi Gachagua kukoma kuwadhihaki Kwa misimamo waliyo nayo kisiasa, wakimtaka kukumbatia siasa za sera na utendakazi..