Back to homeWatch Original
Wachezaji wa Harambee Stars kununua nyumba za serikali kwa nusu bei
video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wachezaji wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars sasa wana fursa ya kununua nyumba za serikali kwa nusu ya bei, baada ya serikali kupunguza gharama yake kwa shilingi milioni moja. Rais Ruto aalitangaza haya alipokutana na wachezaji wa timu hii walioshiriki mechi ya CHAN baada ya..