Back to home

DPP aagiza Barchok na Wangamati washtakiwe kw amadai ya ufisadi

video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Gavana wa Bomet Hillary Barchok pamoja na mwenzake wa Zamani wa Bungoma Wycliffe Wangamati ni miongoni mwa watu walioidhinishwa kufunguliwa mashtaka na mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa tuhuma za ufisadi..