Back to home

Visa vya ubakaji Chebukaka Trans Nzioa

video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wa Kijiji cha Chebukaka, eneo bunge la Saboti, Kaunti ya Trans Nzoia, wanaitaka idara ya polisi kuchukua hatua kali dhidi ya wabakaji wanaoongezeka katika eneo hilo. watoto wawili wenye umri wa chini ya miaka 10 walinajisiwa kisha kuuawa kikatili katika kipindi cha mwezi m..