Back to home

Wakaazi wa Rabai wafunga barabara ya Mazeras-Kaloleni kufuatia ongezeko la ajali

video
August 29, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shughuli za usafiri zilitatizika kwa zaidi ya saa tatu katika eneo la BamBam kwenye Barabara ya Mazeras-Kaloleni, eneo bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, baada ya wakazi kufunga barabara hiyo kufuatia ongezeko la ajali katika eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for late..