Back to home

Tasisi ya wahandisi yataka serikali kutoa nafasi za ajira kwa wahandisi wa humu nchini

video
August 29, 2025
3h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Tasisi ya wahandisi nchini imewasilisha malalamishi yake kwa afisi ya wizara ya uhamiaji kutaka serikali kutoa nafasi za ajira kwa wahandisi wa humu nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news update..