Back to home

Wafanyibiashara Eastleigh wana wasiwasi

video
August 29, 2025
1h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

wafanyibiashara mtaani Eastleigh wana wasiwasi baada ya wahuni kuvamia jumba moja la biashara na kuvunja maduka kadhaa. watu hao waliharibu na kupora mali huku mgogoro wa umiliki wa maduka hayo ukitokota..