Back to home

Waathiriwa wa maandamano bado wanaumia miezi miwili baadaye

video
August 31, 2025
6d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baadhi ya vijana walioathirika na maandamano wameendelea kuuguza majeraha, miezi miwili baada ya maandamano ya juni 25. Vijana hawa sasa wakisema wanakosa mbinu za kujikimu baada ya risasi walivyofyatuliwa wakati huo kusimamisha kabisa shughuli zao..