Back to homeWatch Original
Msururu wa uendeshaji baiskeli na upandaji Milima wa Magical Kenya
video
September 5, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msururu wa uendeshaji baiskeli na upandaji milima wa Magical Kenya ulianza mkondo wake wa eneo la mlima kenya huku wito ukitolewa kwa wakenya kukumbatia utalii wa michezo nchini katika kaunti mbalimbali. Luqman mahmoud yupo kwenye msafara huo na ametuandalia taarifa ifuatayo...