Back to homeWatch Original
Wakaazi walalamikia uharibifu unaofanywa na ndovu
video
September 1, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Ndovu ni baadhi ya wanyama wa kifahari nchini wanaovutia watalii...lakini taswira ni tofauti kwa wakazi wanaoishi karibu na mbuga za wanyamapori haswa ndovu. Wanyama hawa amekuwa tishio kubwa kwa maisha na mashamba ya wakazi wa Kajiado ambako sasa mfumo mpya wa matumizi ya droni ..