Back to home

Uongozi wa kanisa la ELCK wataka serikali iimarishe SHA

video
September 1, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Uongozi wa kanisa la ELCK nchini wakiongozwa na Askofu mkuu wa kanisa hilo nchini Dkt. Joseph Ochola, wameishauri serikali ya Rais William Ruto kuiangalia bima ya SHA kwa kina, wanayosema imewatatiza wananchi wengi wanaotafuta huduma hospitalini. Wakizungumza kwenye ibada ya uzi..