Back to homeWatch Original
IGAD yalenga kutoa mafunzo ya uongozi kwa vijana 70 mwaka huu
video
September 1, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Halmashauri ya maendeleo ya serikali za mataifa IGAD imeanzisha awamu ya pili ya mafunzo ya uongozi kwa vijana katika mataifa wanachama hapa jijini nairobi. Akizungumza Kwenye hafla ya uzinduzi wa mpango huo unaofadhiliwa na serikali ya Japan katika chuo cha mafunzo ya wafanyakaz..