Back to homeWatch Original
Shirika la kutetea haki za kibinadamu lashtumu serikali kwa utepetevu katika maswala ya kigeni
video
September 1, 2025
15h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Shirika la kutetea haki za kibinadamu la ICPS pamoja na aliyekuwa spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire wameishtumu serikali kwa kile wanachokidai kuwa utepetevu katika wizara ya maswala ya kigeni baada ya kuripotiwa kwa ongezeko la visa vya wakenya wanaofariki katika..