Back to homeWatch Original
Familia zaidi ya 1,000 zapewa chakula cha msaada Kajiado Kusini
video
September 1, 2025
17h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
familia zaidi ya 1,000 kutoka eneo bunge la Kajiado kusini zimenufaika na mafunzo kuhusu umuhimu wa kula vyakula vyenye virutubishi hasa kwa watoto na kina mama wajawazito ili kupambana na visa vya utapiomlo . Kwenye hafla hiyo, familia hizo zilipewa msaada wa vyakula kama anavyo..