Back to home

Madereva wa mabasi kaunti ya Mombasa walalamikia kutishiwa maisha na genge la wahuni

video
September 1, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Madereva wa mabasi huko Mombasa wanalalamikia kutishiwa maisha na genge la wahuni eneo la Bamburi. Hii ni baada ya wao kuanza kuwabeba abiria maeneo ya Bamburi, Docks na Likoni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get..