Back to homeWatch Original
Chama cha DCP chashutumu serikali kwa vitisho vya kisiasa na hujuma
video
September 1, 2025
3h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Chama cha DCP kimeishutumu serikali kwa vitisho vya kisiasa na hujuma baada ya mkutano wake huko Mbeere Kaskazini kuvurugwa siku ya Jumapili na kusababisha machafuko. polisi wanatuhumiwa kwa kurusha vitoza machozi kwenye umati wa watu waliojumuisha wanawake na watoto. Subscrib..