Back to home

Utekelezaji wa miradi ya maji Kaunti ya Makueni wakumbwa na uharibifu wa miundombinu

video
September 1, 2025
2d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Utekelezaji wa miradi ya maji katika Kaunti ya Makueni umekumbwa na changamoto za uharibifu wa miundombinu, ambapo serikali ya kaunti imeripoti kupoteza miradi ya maji ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni hamsini katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Subscribe and watch NT..