Back to homeWatch Original
Mauaji ya Rex Masai: Afisa akiri mkanganyiko wa rekodi, mashahidi zaidi kutoa ushahidi
video
September 1, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Afisa mkuu wa polisi anayesimamia silaha katika kituo cha polisi cha Central amepinga madai ya kuficha ukweli kuhusu sajili ya silaha wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka jana. Afisa huyu Fredrick Okapesi huku akikiri mkanganyiko katika sajili ya silaha, ameiambia mahakama kuwa ha..