Back to home

Narok: Mwanafunzi achinjwa shuleni, polisi waanza uchunguzi

video
September 1, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Maafisa wa polisi kaunti ya Narok wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya mwanafunzi wa darasa la nne ndani ya shule ya msingi ya Seventh Day Adventist aliyechinjwa kabla mwili wake kutupwa chooni. Maafisa wa elimu kaunti hiyo wakiagiza kufungwa kwa shule hiyo mara moja ili uchu..