Back to homeWatch Original
Duale akabidhi DCI faili 1,188 za SHA, hospitali 85 zafungwa kwa ulaghai
video
September 1, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa Afya Aden Duale leo amemkabidhi mkurugenzi mkuu wa idara ya DCI Mohammed Amin zaidi ya faili elfu moja kwa uchunguzi kuhusiana na ulaghai wa bima ya afya ya SHA. Duale akitangaza kufungwa kwa hospitali 85 zinazochunguzwa kwa tuhuma hizi amesema uchunguzi huu utafichua u..