Back to homeWatch Original
Vijana wahamasishwa Mbooni
video
September 2, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Vijana wametakiwa kujiepusha na utumizi wa dawa za kulevya na badala yake kujihusisha na mambo yanayoweza kuwafaidi kama michezo. Mbunge wa Mbooni Erastus Kivasu Nzioka anasema vijana wanaweza kutumia talanta zao kujikimu kimaisha badala ya kujitosa kwenye uhalifu au mihadarati..