Back to homeWatch Original
Wakazi wa Umande, Laikipia, wanadai hakuna uwazi wa kulipa fidia
video
September 2, 2025
9h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa wadi ya Umande katika kaunti ya Laikipia wameitaka serikali kuhakikisha wamelipwa fidia ya kima cha shilingi Milioni 500 kutoka kwa serikali ya uingereza kugharamia hasara ya moto mkubwa ulioteketeza zaidi ya ekari elfu saba za mbuga ya Lolldaiga mwaka 2021. Hata hivyo..