Back to home

Mshukiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi akamatwa Kikuyu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 2, 2025
2w ago
Mshukiwa wa mauaji ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha Nairobi bewa la kikuyu, amekamatwa baada ya kudaiwa kumchoma kisu na kumuua mwanafunzi mwenzake kutokana na mzozo wa matumizi ya choo.